SWEET RIZIKI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 288
- 388
Kaka umewahi kujua kama line ukiblock unaweza access phone book?nnajua ninachoongea1. Ukiibiwa laini huwa unaripot mtandao Husika Kuifunga Hata Kama siyo On The spot Lakini baada Ya Muda Uta Swap Na inakuwa Vigumu Kwa mwizi Kuweza Kupata Contact Via stolen Sim Card.
2. simu Nyingi Huwa Ziko Locked Wakati Zinaibiwa na Kwa Vyovyote Huwez Itumia Simu Hadi uFlash mean while Ukiflash unafuta na Contact Za Phone book.
3. Mara Nyingi Wanaotumia Namba Baada Ya Kuiba Huwa ni Matapeli Wa Tuma Pesa Nipo Hospital Na Siyo Hawa Witch Drs.
Hawa Watu Huwa Wanabuni Namba Za Watu Na Kuwa Tumia Sms. Na Kwa Hali ilivyo Sasa Kila Namba Utayobuni ipo Active.
Usimuite msaidizi wako wa nyumbani "beki tatu", hilo ni neno la kudhalilisha kwa mtu anayekusaidia malezi ya watoto na familia yako.
Ni neno linaleta ukakasi sana. If you think of it utaacha kumuita msaidizi wako "beki tatu".
Mkuu naweza kubaliana nawe kwa 99%. Leo mimi na wife tumepata ujumbe kwa muda mmoja kutoka kwa mtu mmoja na content ile ile. Si muda kuna ofisi moja nilienda naye. Hapa na-connect dots...Mkiwa mnaingia kwny majengo yenye vitabu vya kuandika jina na namba ya simu kwa wale walinzi msiandike namba za simu za kweli hawa jamaa wanaenda kununua namba kwa walinzi
je wanapata wapi nambaNi matapeli tu hao
Wanaotea tu namba na kuna app za automatic mobile number generator nenda jukwaa la teknolojia utaona unairun inakupa namba mbalimbali za mitandao mbalimbali yani inakupa tu minamba ovyo ovyo inaweza kuwa ya mtu yeyote hata magufuri hata marehemuHuenda ikawa ila saa nyingine wanaweza pia kuwa matapeli.
Mie huwa nabaki na maswali tu hizi namba zetu wanazitoa wapi kama mitandao ya simu aihusiki?
Mkuu Manirakiza? Upo?je wanapata wapi namba
Hata mimi huyu aliwahibkkunitumia.Mie nilipata anasema eti alimpa dawa mwenye mabasi ya SUPERFEO hahaha
Duuh. Kuumbeee.Wanaotea tu namba na kuna app za automatic mobile number generator nenda jukwaa la teknolojia utaona unairun inakupa namba mbalimbali za mitandao mbalimbali yani inakupa tu minamba ovyo ovyo inaweza kuwa ya mtu yeyote hata magufuri hata marehemu
sijakuelewa mkuuMkuu Manirakiza? Upo?
Huoni laini ya wizi kutumika kwenye simu nyingine ndio chanzo upelelezi wa wizi unapoanziawakuu naomba niwajibu hizi namba huwa zinapatikana vipi ,hawa watu huwa wananunua line zilizotumika kwa sh 500 mpaka 1000 za kitanzania kwa line moja na wanaowauzia hizi line ni mateja, wezi wa simu, au wanunuzi wa simu za wizi. Yaani kama mimi nina namba yako kwenye phonebook then napoteza simu au naibiwa basi line yangu peke yake ni dili sababu contacts zangu zote zipo hivyo ikifika kwenye mkono wa teja yeye anaenda kuuza hiyo line kwa hawa matapeli hivyo wanatumia hiyo line kutuma hizo spam msg wakimaliza phonebook nzima hapo line inavunjwa.Nakaribisha maswali .
Sorry nimekuchanganya na mkuu mwingine anaitwa Joseph Everist Manirakiza ndo nikadhani ni wewe. Sorry for confusion..sijakuelewa mkuu