Chriss Jericho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 257
- 399
Hahahahaaa hatar sana sasa cjui ndo wanatangaza biashara zao
Huenda ikawa ila saa nyingine wanaweza pia kuwa matapeli.Hahahahaaa hatar sana sasa cjui ndo wanatangaza biashara zao
Hahaaa. Duuh.Nishapata namba za watu
emmyta halotel
Mkuu na wewe umetuwekea namba yako hadharani. Asante subiri ujumbe toka kwanguNaomba kuuliza mitandao ya simu hawa watu wanatoa wapi namba zetu? Mana imekuwa mtindo wao kujitangaza kwa mtindo huu kujifanya wamekosea kutuma ujumbe, Mtakuwa mna 10% zenu kwenye haya matangazo inaonekana View attachment 695416View attachment 695417
Hiyo namba ya mke wangu hapo juu umeipataje. Shindwa na ulegee mwana izaya wewe.......Yaaani sio watu wa mtandao maana unaweza kujiandiaki manamba tu kwa idadi ya namba za sim tayal unakuwa umempata mtu mfano hizi namba sizijui ila najiandikia
0745678964
0767326546
0624674892
Hizo lazima zina watu wanazitumia
Mwenye Super feo ni msomi mzuri tu wala hajui uganga ni nini. Wewe ingia kichwa kichwa uingizwe mjiniMie nilipata anasema eti alimpa dawa mwenye mabasi ya SUPERFEO hahaha
Hakuna sehemu nilipo andika kuwa nimeingia kichwa kichwa, hebu tulia sipendi mapovu ya kis.en.ge mieMwenye Super feo ni msomi mzuri tu wala hajui uganga ni nini. Wewe ingia kichwa kichwa uingizwe mjini
Hongera kwa matusi. Ila najua kwenye familia yenu yupo mmoja wa kumfaa hilo tusi. Kami sio wewe ni huyo mwingineHakuna sehemu nilipo andika kuwa nimeingia kichwa kichwa, hebu tulia sipendi mapovu ya kis.en.ge mie