Mitandao ya sim yote imekata ghafla kunani?

Skype

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,266
Reaction score
1,637
Jamani nipo hapa dar lakin nashangaa mitandao yote ya cm imekata ghafla, labda wenye kujua kinachoendelea watujuze
 
Loh, yawezekana wanajaribisha ule mtambo wa kichina wa kukatia mawasiliano, au?
 
Loh, yawezekana wanajaribisha ule mtambo wa kichina wa kukatia mawasiliano, au?

mpaka muda huu NO NETWORK COVERAGE wanatukatili sana, kama ni majaribio si wangefanya usiku wa manane watu tukiwa tumelala? Hii nchi kila k2 kero tupu!
 
Mimi natumia modem ya Voda naona line yake inafanya kazi ila line airtel kwenye simu imekufwa...!
 
Airtel hopeless kabisa, voda iko sawa, tigo congestion
 
Hata mie airtel vocha imegoma kuingia
 
Airtel hawako hewani. Voda na tigo zinapatikana.

Ila mie natumia modem ya zantel na inafanya kazi vizuri tu
 
nilifikiri kasimu kangu ka mchina kanasumbua, kumbe tatizo ni eatel wenyewe
 
mpaka muda huu NO NETWORK COVERAGE wanatukatili sana, kama ni majaribio si wangefanya usiku wa manane watu tukiwa tumelala? Hii nchi kila k2 kero tupu!

Kuliko kuongozwa na ccm ni bora kuishi pangoni na nyoka
 
Airtel kwishney,Usigeneralise problem kwa mtandao m1,serikali haiwezi kata mawasiliano coz ya mtambo wao wa kichina kwa ajili ya test,mie natumia ttcl nakamua kama kawa.
 
Zantel, voda, sasatel wamerudi hewani lakn airtel naona wamelala kabisa labda mpaka kesho, lakn kwa nin wasiwe wanatoa tarifa in advance? Aaaghr!
 
Jamani airtel wakirudi mnistue maana kuna bundle zangu nataka nizitumie ziishe b4 kesho mchana.
 
Nimeteseka mno kutafuta conection kwenye modem yangu bila mafanikio....mpaka sasa empty! Lakim mbona ni intanet tu? Cmu unapiga kama kawa! Wht is wrong with these sht?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…