mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Dunia imehamia Online, Afrika inahama kwa kasi isiyozuilika.
1:Vijiwe vya kahawa vinakoswa wateja,
2:Vikundi vya kupiga stori vimepungua
3:Kutembeleana ana kwa ana kumekufa
4:Mikutano ya kisiasa na kiserikali inakosa wahudhuriaji lakini dakika moja baada ya kuisha tu wahudhuriaji mtandao zaidi ya Millioni hata 10 watakuwa tayari wanakusikiliza.
etc
Watu wengi tuko mitandaoni. Huku ndiko watu wamehamia, Kudharau nguvu ya Mitandao ya kijamii ni sawa na kudharau mamillioni ya wananchi ambao bila hiyari yao au kwa kupenda wamejikuta wakitengeneza vijiji, makundi, jumuia na sehemu za kupumzikia na kukutania mahala pasipo gusika yaani mitandaoni.
Dunia ilipofikia sasa, Ukisema usitilie maanani epidemic News(Habari mlipuko) mitandaoni unaweza kujikuta unachukua maamuzi ukiwa umechelewa na hasara ikawa kubwa, au Mvuto ukafifia kwa kasi ya tai bila kujua, maana huko ndiko watu waliko, wakilia wasikilize, wakilaumu vitu vyema vyenye mantiki wasipuuzwe.
Ushauri kwa Serikali, Wanasiasa wote wa vyama vyote.
Hakuna hudhuru wa kutokuupdate your political and leadership dimensions kuelekea huku jamii ilikounganishwa kwa net ya chuma.