Mkuu huu siyo mda wa kuchekana.Wezako tunaumia kuona timu inaenda kupoteaKigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie kigwangala magoti.
Igeni walichofanya yanga... Ikiwezekana boresheni..Tusichekane,ni bora kutushauri kipi tufanye.Kumbukuka uimara wa Simba ni uimara wa Yanga.
Duh!...bundi katua msimbazu..🙄🙄 ?Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu.Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Sio tu anaondoka bure atashinikiza apewe zile billion 20Kwa hasira nilizonazo sina mda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc.Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini...
Wewe kama sio shabiki acha walio wapenzi waumie, unatakaje kuwapangia watu vitu vya kupenda??. Wewe ambaye huumii unachangia nini?.Hassra roho
Najiuliza hizo timu mnazoshabikia za Ajax, Liverpool, Barcelona nk.... huwa mnaingiaga kwenye mikutano yao ya maamzi...
Simba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....Mkuu huu siyo mda wa kuchekana.Wezako tunaumia kuona timu inaenda kupotea