Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 952
- 1,265
Wakuu,naingiza namba za Luku kwenye mita lakini inaandika Error 77.Tatizo ni nini? Nifanyeje?
Sawa mkuu tunashkuru...🤓Nimependa sana. Members wa JamiiForums, pamoja na utani mwingiiii, lakini mko very cooperative. Congratulations and keep it up!!!
hii imekubali shukrani mkuuIkiwa ni meter ya WASION basi utaanza na 0 bila kuacha nafasi utaweka na namba ya mita kisha 0 tena pia rudia namba ya mita yako na mwishoni maliza na 0 tena utapiga OK itakuwa ishafunguka ukishindwa itakuwa hujafuata maelezo vyema tuliza ubongo
Well doneIkiwa ni meter ya WASION basi utaanza na 0 bila kuacha nafasi utaweka na namba ya mita kisha 0 tena pia rudia namba ya mita yako na mwishoni maliza na 0 tena utapiga OK itakuwa ishafunguka ukishindwa itakuwa hujafuata maelezo vyema tuliza ubongo