misururu mirefu ya wateja wa bange:|:COLORADO

papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
4,391
2,000
Doctors, Accountants, Engineers, Scientists, Judges & Lawyers smoke it!

Birds eat it, ants love it
Fowls eat it, goats love to play with it

So you've got to legalize it, and don't criticize it!.............
 
carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,666
2,000
Hapo kwenye msururu wa hao wateja ukitumia ile pavlov's principle lazma itakubali tuu. Salvation ya hataree:D
 
Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
2,000
mostly medical users ila nadhani watakuwa wameweka kitu flani kupunguza makali...! Wakipata cha Arusha na akili zao zilivyo stressed watauana
 
Johnny Bravo

Senior Member
Dec 4, 2013
107
0
Nahisi 90 percent ya wateja ni black...anaebisha aweke picha

So True!

co smo.jpg
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349
0
Nahisi 90 percent ya wateja ni black...anaebisha aweke picha

Colorado imejaa wazungu wewe (zaidi ya 80% ya wakazi!!). Karibia 40% ya wakazi wote wa US walishawahi kuvuta bangi! Na walio mstari wa mbele kwenye kampeni za kulegalize marijuana na whites!
BTW, bangi ni dawa.
 
uvugizi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,220
2,000
dunia imekwisha shetani kila kukicha anazidi kushinda , mara bangi mara ushoga, vyote vinazidi kumpa shetani nguvu ya kutawala dunia katika hiki kipindi cha lala salama
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349
0
mostly medical users ila nadhani watakuwa wameweka kitu flani kupunguza makali...! Wakipata cha Arusha na akili zao zilivyo stressed watauana

You are wrong, mostly RECREATIONAL users! Watu wameendesha kutoka states zingine na kucamp overnight ndugu yangu, the weed is sacred!
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349
0
dunia imekwisha shetani kila kukicha anazidi kushinda , mara bangi mara ushoga, vyote vinazidi kumpa shetani nguvu ya kutawala dunia katika hiki kipindi cha lala salama

Weed na shetani wapi na wapi wewe, pot ni dawa kaka!
 
Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
2,000
You are wrong, mostly RECREATIONAL users! Watu wameendesha kutoka states zingine na kucamp overnight ndugu yangu, the weed is sacred!
dont be mean i jus said...unaelewesha kwa upole sio ndo hadi makucha machoni jamani khaa...na red kabisa hadi nimeshtuka
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,349
0
dont be mean i jus said...unaelewesha kwa upole sio ndo hadi makucha machoni jamani khaa...na red kabisa hadi nimeshtuka

Nimetumia red kama highlight tu, ningeweza kutumia kijani au njano lakini hizo rangi sizipendi sana! sijamaanisha kukuudhi nilikuwa najaribu kuclarify, kukosea ni kawaida, sorry kama nimekuofend kwenye hiyo post yangu!:wink2:
 
Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
2,000
Nimetumia red kama highlight tu, ningeweza kutumia kijani au njano lakini hizo rangi sizipendi sana! sijamaanisha kukuudhi nilikuwa najaribu kuclarify, kukosea ni kawaida, sorry kama nimekuofend kwenye hiyo post yangu!:wink2:
wala sijamind .... nilishtuka how u said kwa nguvu Lol..thnx kwa kunirekebisha.. have u ever been in Colorado before
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom