Misungwi CHADEMA Operation Toroka Uje!

Misungwi CHADEMA Operation Toroka Uje!

Voice of Mara

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
358
Reaction score
127
Chadema operation#Toroka Uje kanda ya ziwa chini Mhe Vincent Nyerere Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara napia mgombea ubunge Musoma mjini!amendelea kuifuta Ccm kanda ya ziwa nzima jioni hii mkutano wake wa mwisho amefanya jimbo la Misungwi Mkoa wa Mwanza#Tukutane October 25✌✌✌###Mabadiliko Lowassa✌###NyerereTena2015 Musoma mjini kwa muendelezo wa maendeleo✌✌✌✌mwaka huu mpaka Ccm waombe poo!!!Tazama picha za mkutano jioni ya Leo!
 
Attachments

  • 1443979028533.jpg
    1443979028533.jpg
    71.5 KB · Views: 4,817
wanainchi wakiendelea kumsikiza Mhe Vincent Nyerere jioni hii!
 
Attachments

  • 1443979053778.jpg
    1443979053778.jpg
    86.1 KB · Views: 4,381
Asanteni Misungwi kuyakubali mabadiliko
 
Chadema operation#Toroka Uje kanda ya ziwa chini Mhe Vincent Nyerere Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara napia mgombea ubunge Musoma mjini!amendelea kuifuta Ccm kanda ya ziwa nzima jioni hii mkutano wake wa mwisho amefanya jimbo la Misungwi Mkoa wa Mwanza#Tukutane October 25✌✌✌###Mabadiliko Lowassa✌###NyerereTena2015 Musoma mjini kwa muendelezo wa maendeleo✌✌✌✌mwaka huu mpaka Ccm waombe poo!!!Tazama picha za mkutano jioni ya Leo!

kwake kunaungua ngoja azunguke sie huku lazima tumkate aende morogoro akashughulikie matrekta yake, akana msaada jimboni musoma. hana jipya zamu hii akipita ajifunze.
 
Kha ......! kuna rafiki yangu hapo Misungwi ni CCM damu leo atakuwa kalazwa bila shaka.
 
kwanini mgombea ubunge jimbo la Misungwi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA hafanyi kampeni? Au kapima kina cha maji akaona ni kupoteza muda kupamabana na Charles Kitwanga?
 
Nyomi kamzidi hata Magufuri, na habati yake anatumia fiesta kuvuta watu
Kamanda hiyo nyomi ya watu utashangaa matokeo yatakapotangazwa. Nakuhakikishia kwa Misungwi ubunge Kitwanga wa CCM atashinda wa kura nyingi sana, wapinzani hawatapata hata nusu ya kura zake.
 
kitwanga ni mwepesi kuliko pamba
 
kwanini mgombea ubunge jimbo la Misungwi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA hafanyi kampeni? Au kapima kina cha maji akaona ni kupoteza muda kupamabana na Charles Kitwanga?

Kitwanga ni mbabaishaji mgombea wa ukawa hata akipewa siku mbili za kampeni alafu kitwanga akapewa siku 90 bado mgombea wa ukawa anashinda
 
Back
Top Bottom