Misungwi CHADEMA Operation Toroka Uje!

Misungwi CHADEMA Operation Toroka Uje!

Mbona vimejaa vitoto na vyenyewe vitmejiandikisha kupiga kura? au uasikuta jamaa alienda na chopa wakaenda kuishangaa
 
Ukweli ulivyo kitwanga anashinda,mgombea wa chadema/ukawa hana hata uwezo wa kufanya kampeni,anazidiwa na madiwani. Hapo chadema walichemsha,pamoja na kupewa taarifa juu ya uwezo wa mgombea,wao hawakusikia.
 
Asante Misungwi, asante Nyerere...Mabadiliko hayazuiliki!

Misungwi1.jpg

Misungwi2.jpg
 
Ukweli ulivyo kitwanga anashinda,mgombea wa chadema/ukawa hana hata uwezo wa kufanya kampeni,anazidiwa na madiwani. Hapo chadema walichemsha,pamoja na kupewa taarifa juu ya uwezo wa mgombea,wao hawakusikia.

ni bora ukawa tajiri wa fikra kuliko kuwa tajiri wa kipato lakini kichwani hamna kitu
 
Kitwanga kasha shindwa mapemaa hana kitu pale misungwi bado maji shida magonjwa njaa
 
Kitwanga kasha shindwa mapemaa hana kitu pale misungwi bado maji shida magonjwa njaa

misungwi miaka 54 ya uhuni,watu wana shida ya maji,hamna umeme,huduma za afya hakuna kweli kidumu chama cha majuha(ccm)
 
Back
Top Bottom