Misuli ya uume kukaza, huu ni ugonjwa gani?

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Salaam wakuu,

Kama sio Jana au Juzi nilileta uzi hapa kuomba msaada dawa ya kuondoa maumivu kwenye dushelele baada ya kufululiza kumgegeda demu wangu. Cha ajabu hadi sasa mashine inasimama ovyo ovyo na kutamani kugegeda ingawa nahisi maumivu ya misuli ya dushelele. Tangu asubuhi hadi sasa jamaa anasimama anakaa anasimama anakaa.

Nipo kwenye daladala hapa nimekaa na mdada kavaa kimini dushelele limesimama
natamani nichemshe maji ya moto kuikanda lakini nipo kwenye mishe mishe
jamani, hii tabia ya dushelele kusimama simama ni ugonjwa au? Manake kama kugegeda na kukojoa nilishakojoa sana wiki nzima lakini still inazingua na nateseka kwa maumivu ya misuli ya jamaa.

Msaada jamani kuondokana na hii hali.
 
You have a high sex drive/libido and you are easily aroused that's all

Kwahiyo huna ugonjwa wowote

Ila kama unawasiwasi, basi kamuone daktari
 
Salaam wakuu
Kama sio Jana au juzi nlileta Uzi hapa kuomba msaada Dawa ya kuondoa maumivu kwenye dushelele baada ya kufululiza kumgegeda demu wangu
Cha ajabu hadi sasa mashine inasimama ovyo ovyo na kutamani kugegeda ingawa nahisi maumivu ya misuli ya dushelele

Tangu asubuhi hadi sasa jamaa anasimama anakaa anasimama anakaa ,nipo kwenye daladala hapa nimekaa na mdada kavaa kimini dushelele limesimama
Natamani nichemshe maji ya Moto kuikanda lakini nipo kwenye mishe mishe
Jamanii hii tabia ya dushelele kusimama simama ni ugonjwa au? manake kama kugegeda na kukojoa nyingi nlishakojoa Sana wiki nzima lakini still inazingua na nateseka Kwa maumivu ya misuli ya jamaa
Msaada jamani kuondokana na hii hali.
AUTOTROPISIM.
 
Ulichobakiza ni kubaka na kufungwa
 
Back
Top Bottom