Misukule ya Kisiasa

Misukule ya Kisiasa

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,815
Misukule wa kisiasa Tanzania sasa Tanzania wanakera, hawa ni Wale waliopewa heshima na Wananchi kuwawakilisha, lakini wanaweka akili zao mfukoni na kuanza kumfuata individual. Wako tayari kufanya kila wawezalo ili awape pumba! Au angalau tu Wamwone akitabasamu.

Hawa, wanayemwabudu, hata kama wakimkuta akila nyama ya Mtu, Utasikia, " Nianze kwa kumpongeza Mkuu kwa Nyama anazokula siku hizi" pia ningempongeza kwa " Kupiga chafya, hapa kasi tu!" Yaani Hii misukule inavyopigana vikumbo kuwa wakwanza kuonekana na "Their Owner" Inabidi uipishe haraka

Hii ndiyo Tanzania ya aibu tuliyofikia! The Land of the Living Dead 2 or The Zombie Return! 2
 
Awamu hii watendaji hawajui jambo gani ukitenda ni sahihi na lipi si sahihi!Yaani usahihi wake ni akili za mtu mmoja!Leo akiamka akisema A ni sahihi,basi kundi lote linahamia A!Kesho akisema B ni sahihi basi inabidi tu mbadilike na kupiga u turn!
 
Back
Top Bottom