...nasema hivi, sometimes inapotokea umri kwenda kombo hasa kwa akina dada, huamua kucheza karata zake zote na kumpata yeyote kwa njia yeyote ili afunge naye ndoa. hapo panakuwa na mapenzi ya uongo kwa ajili ya kupata sehemu ya kujishikizia. Baada ya muda mchache ndoa kufungwa mapenzi huporomoka kama barafu ya juani, na ndio ndoa nyingi za siku hizi.
kwanza naomba nikueleze kwamba ndoa za zamani nilikuwa na matatizo kama za sasa ila ni unyanyasaji na mfumo dume uliwanyima sana haki ya kuhoji wanawake wakati kwa sasa awareness na movement za usawa zimesaidia wanawake kujua na kutetea haki zao... vitu kama vipigo, matusi na masimango kwa sasa vimetungiwa sheria na pia akina mama wanaelimu na wengine wanafanya biashara nk. hivyo relevance ya paragraph one as far as i am concerned ni "qualified"Ndugu wapendwa
leo hii nimekuja kutoa Mawazo yangu kidogo jinsi ya kuokoa
ndoa za watanzania,,,leo hii ndoa si kama wazee wetu walivyokuwa
wakipendana kutoka moyoni,....
hapo tuko pamoja sana, siku hizi ndoa nyingi ni circumstantial na pesa imepata mwenyewe (imeingia kwenye madhumuni ya ndoa, hii ni kwa tafiti kadhaa zhasa ulaya wanaweka haya mamo na sababu zake, kama sikosei...ukisoma Times online kwenye upande wa mahusiano kuna shule tamu sana ya haya mambondoa zao leo hii zimejaa madhumuni kibao ambayo mengine yanawekwa kwenye imani yatatokea baada ya ndoa na hatari ni pale mambo yanapoenda kinyume
ndoa has to be made for right reasons, kama sio righ reasons hata ufanyeje haitakuwa right, na solution ni wawili tu!!!harusi za leo zinaisha ndani ya siku saba,.
nimekaa nkaona tusiporekebishana haya mambo hata sie wahudhuriaji
makanisani tutaishia kubeba dhambi juu ya awa wanandoa wa leo
kama mpenda maendeleo ya wanandoa ningeshauri kuwepo na jukwaa
la wanandoa ama kama una mawazo yoyote ama umekumbana na misuko suko ukafanikiwa kuichomoa embu karibu hapa tupe dondoo tupate kushare jinsi ulivyofanikiwa kuhimili vishindo......wewe msomaji bwana harusi mtarajiwa unakaribishwa kupata hints nini cha kufanya na je baada ya ndoa kuna soln yoyote yakitokea matatizo....
Nawatakia ndoa njema zenye utulivu,tusaidiane kutoa mawazo endelevu jamani na kusaidia ndoa zetu,..yapo matatizo mengi katika ndoa ,...kama ni mwathirika mmoja wapo karibu jukwani tupate mawazo yako
Huwa imatokea hata mwanaume umri kwenda kombo na kuamua kucheza karata kumpata yeyote ili afunge naye ndoa. Hapo inakuwaje bwana Mundu.
Labda tujiulize kwanza, nani anakuwa na presha kubwa ya umri kati ya mwanaume na mwanamke?Huwa imatokea hata mwanaume umri kwenda kombo na kuamua kucheza karata kumpata yeyote ili afunge naye ndoa. Hapo inakuwaje bwana Mundu.
Labda tujiulize kwanza, nani anakuwa na presha kubwa ya umri kati ya mwanaume na mwanamke?
Nasema anzisheni hili jukwaa na liwekewe restrictions kama kule kwa wakubwa; ni muhimu sana!
Nina mengi ya kushea
no comment ww tena nakuaminia
Kivipi Dr. nasijayasema yalomo moyoni! Weye ni dr kalu nini?😱
kwa hoja mbalimbali hapa kijuweni🙂
kwenda kombo ndio nini?...nasema hivi, sometimes inapotokea umri kwenda kombo hasa kwa akina dada, huamua kucheza karata zake zote na kumpata yeyote kwa njia yeyote ili afunge naye ndoa. hapo panakuwa na mapenzi ya uongo kwa ajili ya kupata sehemu ya kujishikizia. Baada ya muda mchache ndoa kufungwa mapenzi huporomoka kama barafu ya juani, na ndio ndoa nyingi za siku hizi.