Mistari yenye rangi katika monitor ya PC

Blue Bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
2,269
Reaction score
3,011
Kuna mistari inatokea kwenye display (monitor), mistari hiyo inakuwa na rangi ambayo hujaa nusu ya kioo cha monitor Kwa wima (vertical lines).

Nimejaribu google wanasema ni graphic drivers au display drivers; but nimejaribu ku-update drivers zote za pc lakini tatizo bado liko vile vile.

Nimekuja kwenu mafundi wa software au hardware. Nawezaje ku-fix tatizo hili? Angalia picha hapo chini[emoji116][emoji116]

Fanya vitu viwili.

Jaribu kubadili hiyo cable ya vga/hdmi.

Pili, tumia monitor nyingine ili kubaini ni tatizo la card, driver au screen (monitor).

Matokeo utakayopata yatakusaidia kujua tatizo na kutafuta suluhu bora.
 
Shukrani kwa ushauri. Nitajaribu.
 
Fanya vitu viwili.

Jaribu kubadili hiyo cable ya vga/hdmi.

Pili, tumia monitor nyingine ili kubaini ni tatizo la card, driver au screen (monitor).

Matokeo utakayopata yatakusaidia kujua tatizo na kutafuta suluhu bora.
Ninapo tatizo hilo hata nikiweka external monitor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…