Mistari hii niki isikilizaga huwa inanikera sana !
I don't see the difference between Rap and Bible /
Na wajukuu wengi mpaka najiuliza nimtume nani/
Nitume mimi YESU akasema/
akaja akala kichapo sijui ka atarudi Tena/
Hahahaha,
Za uso hizo.
Ungekuwa umesema wewe ningeona ni kawaida ! Na yakupasa kaka ! Mana tayari publicly we ni huamini ! Uwepo wake
Lakini yeye ! Anae beleave in God !
Ana speak exasparate words kama hizo ! Si uchizi huu !
Imeandikwa "so.kila.mtu atakayeniita bwana bwana..."
Umesoma biblia?
Wengine wa (tu)natumia maandiko ya Biblia sawa na Shakespeare na Rabelais tu.
Mistari hii niki isikilizaga huwa inanikera sana !
I don't see the difference between Rap and Bible /
Na wajukuu wengi mpaka najiuliza nimtume nani/
Nitume mimi YESU akasema/
akaja akala kichapo sijui ka atarudi Tena/
sarakasi ubinuliwe harakati zirudiwe/ hapa unawekwa kati hata uwe Araphat ngumi jiwe/
Nachinja bila mundu wala kisu/ nadinda mbele ya makinda wananiita Tundu Lissu
Alazwe pema ghadafi/ wema punguza uchafu upate wema wa wasafi
huu mstari nilicheka sana
nikki mbishi nyoko dunia nzima aiseeKala pina nabii koko /
ukija kwenye vina ni wazi madee cho|<0
nikki mbishi nyoko dunia nzima aisee
unazigo kubwa nakusaidia kulibeba halaf unadai nakubaishia
sa unataka mungu akupe nini?
au manyaunyau akupe jini ?
basi muombe akupe mimi
hahahhahaha niki shikamooooooooo
Ukipanda dau hiyo
mwezi wa tatu anaachia ngoma mpya ft walter chilambo
kasema au umezisikia wp mkuu?kweli unamfuatilia huyu mnyama aiseeUkipanda dau hiyo
mwezi wa tatu anaachia ngoma mpya ft walter chilambo