Misssssssssss....

Kwa kutembea na mzigo waliobeba unavyoakisi ndani ya mavazi yao
 
Kwa sisi wataalamu wa kuangalia tunatazama macho, vidole vya mikono na miguu na akitembea kidogo tu, unaipata formula huyu mwanadada yupo kundi gani la uzuri na shepu, hii mpaka uwe mtaalamu mkuu la sivyo unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Nini?
FATWA ni nini?

Hii kwa ujuzi wangu mdogo ni maoni ya kisheria ya kiislamu. Mara nyingi tumezoea kucichukulia kama hukumu ya adhabu kwa aliye vunja sharia. Wenyewe watakuwa na maelezo mazuri zaidi
 
Vigezo vyao bila shaka ni
namna ya kujieleza na utembeaji wa jukwaani huenda pia na ubunifu fulani wa mavazi/hijabu.nimtazamo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…