Missing You.......

Kuna muda unaomba angeletwa mapema?

Hahahahahahaaa malavi davi bana acha tuu wee kuahidiwa kuletewa mwezi na nyota vile kwenye nyumba yangu niliyonunuliwa kule madale mchezo. .......

Utaona nilichelewa wapi kumuona na yeye alichelewa wapii kunipata
 
UJINGA TU, HATA HAKUNA LA MAANA HAPA!!

#Chief Eng

Raha bin utamu ni pale unapotarajia kubembelezwa kwa kuimbiwa na mpenzi wako usiku kabla ya kulala matokeo yake unapanda kitandani unajilaza mpenzi wako badala ya kukupet pet na kukuimbia anaishia kukoroma kama chura huku akikuwekea miguu na kuachia hewa ya ukaa. .... matokeo ya hayo...... lazima
utakuwa unaona maruweruwe tuu kila unachokisoma na kukiona maana usiku kucha ubongo umekosa oxygen lazima uandike povu.

Hahahahahhahahahahhhahhaaaaaaaaa poleee totoo. Hehehehehehehehehehehehehehehehehee.
 
may be i like your comments!! i dont know

So you don't know which is which.... either you like msweet or her comments.... Is that right chief1 ???? Endelea kumfollow msweet itakuwezesha kugundua ipi ni vepeeeee..... Sawa dear...
 
It is serious,i have a feeling,thou i don't know you,but dont take it too seriously

Ofcourse i know that you don't mean what you just wrote up there.... Worry not....!! I can NEVER take it seriously
 
So you don't know which is which.... either you like msweet or her comments.... Is that right chief1 ???? Endelea kumfollow msweet itakuwezesha kugundua ipi ni vepeeeee..... Sawa dear...[/QUOTEs
sawa dear,until i can differentiate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom