Missing you a lot my @Erickb52

Chocs si useme tu kuwa umemiss kifanyio chake baada ya ile operesheni niliyofanya na madokta wenzangu ya kukiengua...ili kunusuru ndoa za watu...khaaa!!!
 
Last edited by a moderator:

Weraaaaaa!! Erickb52 hebu come this way.... Halafu kwa hili huyu inabidi ajue c:c Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmm.. Erickb52 wanaotaka kuharibu kumbe ni wengi namna hii...naahidi kukupenda daima
Rutashobolwa bila ushahidi wa kuthibitisha hili, bado hujanikonvinsi!!

shost wasikutishe mwaya najua Erickb52 wako alipo we nitafute nikupeleke
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 yupo kwenye mpango wa kando chezea wowowo wewee Chocs nilikwambia kafanyiwa ukaguzi mwanana yupo kwa mwenzio acha kumtafuta
 
Last edited by a moderator:
Chocs si useme tu kuwa umemiss kifanyio chake baada ya ile operesheni niliyofanya na madokta wenzangu ya kukiengua...ili kunusuru ndoa za watu...khaaa!!!
Hahahahahahaha...hamna wewe kidude kipo bwana...ila kweli nimekimisije!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…