Kwani sababu hauzijui?
Hoji kwanza uonevu unaoendelea sasa wa kuifungia Jf kinyume cha sheria.
Tumepoteza members wengi sana kwa kitendo hiki.
Kunafuatiwa na mamluki uchwara kupokelewa na kumwagwa Jf na hadi wengine kukabidhiwa fimbo ya umoderator na kuanza kuziminya ovyo topic za maana, ama topic ya mtu kuchanganywa kwenye topic ya mtu mwingine, mambo ya hovyo hovyo tu!
Sielewi ni kwa nini mkurugenzi aliingizwa mkenge wa namna hii!
Mi mwenyewe sasa hivi natafuta ni platform gani ya waungwa nijiunge nayo.