JF noma sana. Mi sionekani na wala simisiwi!
miss chagga ngoja nimuangalie karibu na wallet yangu.Na Miss Chaga nae utakapomuona toa taarifa kwa kituo cha polisi kilicho karibu na wewe
Zawadi nono itatolewa.
Ushauri wako mzuri! Wadada wa JF hawawezi kunikubali Mimi muuza Mapupu na vichwa vya kuku asubuhi, usiku Mlinzi! Na Mimi kufake siwezi. Wao wanataka wacheza FOREXHahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Ngoja bas me nianze na wwHahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miss chagga ngoja nimuangalie karibu na wallet yangu.
Honestly where did u hide OLESAIDIMU ?Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.