Umenifanya niache kila kitu,machozi yanagonga mboni kwa mara nyingine tena,najisikia vibaya nikiwa na marafiki wakianza kusema wanunue zawadi za mama,wengine za baba! Mie nabaki kuumia rohoni tu huku nikijisemea why mom and Dady mliamua kuniacha huku peke yangu? Ni wapi nilimkosea Mungu mpaka akanifanyia hiki? Kweli mpaka leo Mungu nakudai sijawahi kukaa na kupata faraja zaidi ya kujikaza tu! Miss you Mom,Mis you Dady. May you rest in peace