Missile Mpya Ya Iran Harmshaher 5

Missile Mpya Ya Iran Harmshaher 5

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,606
Reaction score
13,988
FB_IMG_17531938943585527.jpg
 
Habari ya mjini ndio hio hio Missile inaitwa Harmshaher 5 inafika California bila wasi wasi wowote kwa hio USA asilete ujinga tena. Hio Missile Ina range ya 12,000 KM ni Intercontinental Missile. Warhead yake ni 2 ton na yenye speed of Mach 16 times faster than the speed of sound hakuna air defense yenye uwezo wakuitungua.

View: https://youtu.be/FCwgZgy2Jhc?si=1CUBByZwSHR-AoRu

Mbona umeweka picha za Marehemu?
 
View: https://youtu.be/I13kDX_Cdh8?si=y63Ljvd0nsFGfQRO

Wakati netanyahu anaenda kurobi kupata replacement ya intercept iran inaendeleza ubunifu na production .. ya missle hii ndo maana halisi ya kujitegemea kikamilifu
 
WAYAHUDIA wengi wanaondoka kwenye ile nchi ya Mchongo wamekata tamaa na mavitavita yasiojulikana !!!

mwisho wake Wawekezaji nao ndio mitaji yao wanaondoa halaka.

Kwasasa watu wapo kwenye kuhama kwa Speed kubwa.- Ata mimi ningeama..
 
Hilo ndo pigo kubwa kwa israel pia kuna yule waziri wa ulizni mwenye macho kama shetan badla ya kuhamasisha utulivu yeye anasema vita ndo itaamza tena sasa makampuni mengi lazima yataondoka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom