Miss you jamani


Yaani my dearest acha kabisa.....nilikuwa nimekamatwaje? Full in door hata babu Dark City anajua.

Nikawa nawamissi je sasa, hata nikijaribu ku do the nidiful to JF nashinda....i miss you people kabisa yani.

Dark City Lady doctor Lily Flower Mzee wa Rula Kaizer Preta Asprin Filipo Erickb52 marejesho Heaven on Earth Eiyer BAK PakaJimmy Passion Lady Cantalisia LiverpoolFC Arabela Mwanyasi[/QUOTE]
mnaitwa na m baba mje minipunguzie miss hizi, zimwagika.
 
Last edited by a moderator:
Halafu leo asubuhi nilivyoingia humu ndani nilikukumbuka wallah

I miss you so so soooo many Koku

Hivi unakuwaga wapi bibie?

We acha tu mpenzi wangu.
Malimwengu yalinihamisha kwenye ulimwengu wa mawasiliano hadi nikawa not richable.

Uko powa wangu....miss u tooo
 
KOKUTONA natamani nikumisi, ila bado ''sijakufahamu'', naomba nikufahamu ili siku moja nikumisi!

Uwiiiiii Eli79 nidokeze kwanza unamfahamuje mtu hadi una mmiss, ki ukweli natamani unimiss hakyanani.

Nimiss basi jamani eeeh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…