Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,501
- 911,251
My top 5 includes:-
1) Miss venezuela
2) Miss Puerto Rico
3) Miss South Africa
4) Miss England
5) Miss Korea................................................hebut tuone nimepatia kwa kiasi gani
Dah kama ulikuwepo kati ya majaji coz miss Venezuela kashinda. M y wish was miss S.Africa ashinde.
Wakwetu katoka hola
am pleased miss venezuela kashinda,she is beautiful.....but nilitaka miss south africa ashinde lol,halafu miss england wamekapendelea tu hakana lolote....
the winner is Miss venezuela........................first run up ni Miss Phillipines...................and third is Miss puerto Rico..............................it is all over and good nite folks.........
Thanks mkuu,
Tunaanza maadalizi kumpta next Miss Tz ...hope this time?
Laana unatoa wewe na yeye aliyejaza hiyo Meli Wacha kujianika masaburi yako wajiuzulu hao viongozi wako na waziri husika Nyamaza kama huna la kuongea mwache mrembo apige life yake Gamba weweKwanza afadhali atoke, analaana ya waliokufa kwenye meli ya Zanzibar. Na kama hawata omba Radhi kwa lile waliolifanya siku ile kwa kutokuwa na masikitiko kwa waliopoteza uhai, ninamuomba mungu awape matatizo makubwa kushinda hilo la kutoka mapema.
Thanks mkuu,
Tunaanza maadalizi kumpta next Miss Tz ...hope this time?
Mis M-PESA Tz kashika nafasi y ngapi?
kaenda kuuza sura