Huyu ndio Miss Universe wetu 2010 hivi Lundenga huwa hawaoni Ma-miss wa ukweli kama huyu nadhani sasa shindano lake limepoteza mwelekeo na mvuto kwa kutoa Ma-miss wasio katika kiwango!
Physically amekubalika, kumkichwa je niaje? Yuko njema pia? Btw bintiz anazozitoaga Maria Sarungi hazichafuagi papers kama zile za Bw. Lundenga, yawezekana ni kweli kwa Uncle Hashim kubebana kwingi kuliko ubora?