Says the lady in Pink (au sijiu ni rangi gani) 🙂 just joking..., lakini it shows kwamba different strokes are for different folks na mimi Madame X in any mashindano ya uzuri tena Africa you would have got my vote (sababu you have a lot of qualities of beauty, African Style)
Therefore in short nadhani badala ya a long way to go towards western perception about beauty maybe tungerudi 'back to basics' na kupata beauty in African perception na kuanzisha mashindano yetu
[MENTION]sunwu[/MENTION], hata tukirudi kiafrika zaidi pia hatuko hasa hiyo minywele haina mahala pake. Here I am reffering on the outfit and the final touches to further enhance the contestant, I didnt like them (my opinion)