kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Jun 1, 2012 #1 Wadau niko hapa Da West Park Tabata leo ndo kuna ule mtanange wa kutafuta Mlimbwende wa Tabata watu ni wengi kweli kuna bendi ya mashujaa na Mashauzi Clasic mambo ni mazuri kwa kweli. Mashujaa wako jukwaani kwa sasa.
Wadau niko hapa Da West Park Tabata leo ndo kuna ule mtanange wa kutafuta Mlimbwende wa Tabata watu ni wengi kweli kuna bendi ya mashujaa na Mashauzi Clasic mambo ni mazuri kwa kweli. Mashujaa wako jukwaani kwa sasa.