Ni product ya forever living special kwa ajili yakupunguza unene kama sijakosea maana niliiona mahali
You are very right....Kuna watu walikuwa wanaisifia hii product na picha zilikuwepo kama ushahidi. .
refer
https://www.jamiiforums.com/matanga...ito-usiotakiwa-mwilini-clean-9-program-6.html
muache. Wakija wenyewe patakuwa hapatoshi.
Sijui watajibuje mapigo. Nitakukimbilia wewe hapo.
Karucee ninavyoandamwa na kuchepuka,mnanionea jamaniThanks you my friend.
Happy Easter to you too.
Michepuko sio dili, baki njia kuu.:A S angel::A S angel:
miss neddy naomba edit ID yako na toa hilo neno "miss"
Likini mimi napenda waliojaaliwa kama huyu
aiseeeeeeee sikuwezi
I told you not Karucee!!!!!!
Mwenyewe hakutaka ije kipindi hiki hii picha!!!
Alitaka mpaka mkorogo ukolee ndio iwekwe hapa!!!!
Hahahaha kwanini?
Aweke bonge neddy au lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
huvumi lakini umo
Sooo hot kulaleki ndo mana king Excel anaruka mito na mabonde kwa ajil ya huyu mrembo