miss neddy naomba edit ID yako na toa hilo neno "miss"
ama aongoze miss bantu neddy.
Hivi kwa miss bantu atafuzu kweli?
Mbona kama wamepiga chini juu kavimba??.....Lol
Weee hujui fashion za wadada wa bongo now days wana vitambi kama wanaume.
..raha ya tumbo kubwa yake top na mkanda
View attachment 152513Haya bwana. Akiwa ametinga pamba zake za Pasaka huyu hapa miss neddy.
cc Eiyer, Mndengereko, Arushaone na Lady doctor hongereni kwa kuwa na binti mzurii full wese kudaadeki. OLESAIDIMU njoo umuone miss kauzibe, ICHANA... utafiti, farkhina :smile:
miss neddy naomba edit ID yako na toa hilo neno "miss"
Kwa hayo matumbo nadhani nikirudi sokoni nitakosa mchumba.....
Ngoja nisiseme mengi ila wajukuu zangu wanapaswa kupambana sana na hivyo vitambi vya chips na nyama choma!
aisee leo zamu yake.
Kila siku ananiweka notsi bodi🙂
View attachment 152513Haya bwana. Akiwa ametinga pamba zake za Pasaka huyu hapa miss neddy.
cc Eiyer, Mndengereko, Arushaone na Lady doctor hongereni kwa kuwa na binti mzurii full wese kudaadeki. OLESAIDIMU njoo umuone miss kauzibe, ICHANA... utafiti, farkhina :smile:
Ungepata shida kupata mchumba
Waambie wajukuu wapambane na wasiogope kusema ukweli kuwa hampendez na vitambi