Miss Iran

Wacheni Dharau hivo.. Inshort huyu aliyevaa hivi

AMEPENDEZA ZAIDI



KULIKO HUYU ALIYEJIANIKA UCHI


Hiyo ni kulingana na mawazo yako tu si kwa wote maana kila mtu ana mawazo na mtazamo wake
 

ndugu punguza pumba basi....angalia huyo unayedai yuko uchi,yupo kwenye mazingira gani??na huyo unayedai kavaa ngua yupo mazingira gani?completely different!! Sasa ,mavazi ya beach aende nayo kariakoo ye kawa chizi??same way huyo suni aende beach na kaniki zake uone itakuwaje,hope kila mtu atamshangaa!! Huyo suni ukiangalia vizuri chini kuna kapet...so huenda yupo kwenye engagement funtion, hawezi vaa bikini hapo!!
 
Wanawke ni wajinga sana watu wanawatumia wakiwa uchi kwenye matangazo mengi wao wanaona fahari, ata tangazo la sigara utakuta mwanamke yupo uchi anavuta sigara
 

mie nikivaa baibui huwa sivai chupi. Maana kuna joto sio mchezo ndani ya baibui. Kwa hiyo kama huyo wa juu nafanya kama mie basi huenda ni rahisi kumvua alievaa baibui
 
Wanajidanganya kwa kujifunika, isiwe ya osama bin laden kuchukia wazungu lakini amekamatwa na video za n gono za kizungu na dawa ya viagra.
 
Ujinga wao tu, halafu eti BIKRA mpaka NDOA, kumbe ubikra wa MBELE tu, kwani uwani ni HALAAL. hapo mimi wananiacha hoi waarabu na ndugu zao.

Dah kumbe humu ndani 'wazito ' wengi sana. Nilikuwa sijajua. Sasa kama wewe utapendelea dada yako avae vazi gani kati ya hayo mawili, maana hiyo picha ya chini imequalify kuwa vazi siku hizi.

Ujinga wao tu,
Upi huo sasa, wa dada wa juu kujiheshimu au wa chini tangazo?

halafu eti BIKRA mpaka NDOA,
Ungeliongea hili kwenye jukwaa la dini, ungalipata majibu mazuri.

kumbe ubikra wa MBELE tu, kwani uwani ni HALAAL
Nani huyo aliyekuhalalishia? Au ni stereotype tu? Maana tunaweza tukaku-streotype hata wewe pia.

hapo mimi wananiacha hoi waarabu na ndugu zao
Unajua hata wewe pia ni ndugu yao, ama ulikuwa hulijui hilo? Unatumia sehemu ya lugha yao hapa.<!-- google_ad_section_end -->
 
Ujinga wao tu, halafu eti BIKRA mpaka NDOA, kumbe ubikra wa MBELE tu, kwani uwani ni HALAAL. hapo mimi wananiacha hoi waarabu na ndugu zao.

Una ushahidi juu ya hiyo statement hapo juu? au una ropoka tu?
 
mie nikivaa baibui huwa sivai chupi. Maana kuna joto sio mchezo ndani ya baibui. Kwa hiyo kama huyo wa juu nafanya kama mie basi huenda ni rahisi kumvua alievaa baibui

Una lako jambo..........., si tabia ulizo nazo ww, na wenzio pia wanazo... na sio wavaa mababui wote hawavai chupi. Labda ww una lengo lako........
Na kwa taarifa yako wavaa mabaibui wote huwa washazoea na wala hawahisi joto, coz wanavaa kwa kujistiri na kwa mazoea ya kutokea utotoni. WW UNAEVAA KWA MSIMU NA KWA KUIGA NDIO UNASIKIA JOTO
 
mie nikivaa baibui huwa sivai chupi. Maana kuna joto sio mchezo ndani ya baibui. Kwa hiyo kama huyo wa juu nafanya kama mie basi huenda ni rahisi kumvua alievaa baibui
Huo udhaifu wako ww aina maana mapungufu yako yawe ya kila mtu,kama ww kila anayekutongoza unamkubalia hayo ni matatizo yako ww na sio wanawake wote.
 
Ww umekalilishwa na ujui unacho comment,umevamia tren kwa mbele,kwa macho yako uwezi ona huyo yupo uchi kweli mwenye macho hataona na mwenye mackio hatackia,sijui unatetea nn,na unafaidi nn kwa hilo,usitumie access yako kupotosha kwani kesho kwa mungu utaulizwa kila neema ayokupa uliitumiaje,usifuate mkumbo
 
Wacheni Dharau hivo.. Inshort huyu aliyevaa hivi

AMEPENDEZA ZAIDI



KULIKO HUYU ALIYEJIANIKA UCHI


Sasa huyo wa chini si ni Miss Bikini.,ulitegemea avae Hijab..?, hata kama huyo wa juu angekuwa anashiriki Miss Bikini lazima angevua Hijab tu.
 
Kwani kushiriki hayo mashindano ni AMRIII? kama sivyo si asingeshiriki? kwanini kulidhalilisha vazi la shemeji yangu kwenye vichupi?
 
Hilo ni baasha - Yupo hapo kuyaminya hayo mavituz sababu nyie picha zinawatosha mmebakia macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…