Unaruhusiwa kupendekeza majina manne tu, watakaotajwa zaidi ndio watakaopitishwa kwenye mchujo wa 16 bora.
Anza sasa, mimi naanza na wafuatao:
1
Lady doctor
2
Chocs
3
AshaDii (No excuses please)
4
mimisa.
Zoezi hili litasimamiwa kwa karibu na:
Erickb52
Kaizer
Katavi
KOKUTONA
Madame B
Mamndenyi
Mtambuzi
PakaJimmy
Ruhazwe JR
Chini ya usimamizi wa Babu ODM
Asprin
Matokeo mengine yatakuwa yanaletwa kwenu na:
ARUSHA ONE FM
Pia Ukiwa Arusha na mikoa ya KILIMANJARO,MANYARA,SINGIDA,TANGA,DODOMA, , fungua 101.6 FM, Waweza pia ingia kwenye Facebook u-'like' page yetu.
Arusha One Fm 101.6 | Facebook