Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Kama kawaida mkuu slow but sure
mashart yangu utayaweza? : kwanza usivae nguo ya kubana , uvae kofia ya kiume.. amna kupaka makeup.... na ikiwezekana hakuna kutabasamu hata uchekeshwe
Kwa hiyo ni kununa mwanzo mwisho? siyawezi
eeeh kumbe ndiyo yanayoendelea humu ndani, kweli hasiyekuwepo na lake halimo
si unajua free market economy mkuu? hakuna barriers of entry and exit!
si unajua free market economy mkuu? hakuna barriers of entry and exit!