zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Imekua longtime sana miss chagga, leo nataka uvae upendeze tutoke tukale bata popote utakapo na wala usiogope mtu yoyote humu chit chat. Si unajua wengi maneno matupu tu? But yo hubby donlucchese hua siongei saaana. Usijali hata ukiwekwa kikao mamaa,i' always have your back. Get ready, here i come
View attachment 137452
mpaka hukuu?
mambo mengine ni magumu sana kuyahandle kwa kweli.
ananipenda sana, na mimi nampenda pia
hahah, bata 101 imeniboost bata morale yangu. saivi nawaza bata like eer hour. Amandla...........Awethu..........Africa! Thankx mkuu am already started here at Picolo!Mkuu toka umejua kula bata imekuwa shida,haya week end ndo hiyo inakuja wish u all the best kwenye maraha yenu.
Embu mwacheee
Mwanangu umefika huku? Ukirudi salama niambie
Mkuu utafiti vipi tena?
sawa mpenzi!baba yangu huyu usijali
sawa mpenzi!
baba shikamoo nilirudi salama baba yngu
Marahaba mwanangu, ulirudi saa ngpi jana? Ata usingizi ulinipotea nilishindwa kulala...
baba sa sita nilikwa nimesharudi... baba nisamehe kumbe ukulala
Nitalalaje wakati sijui kama wewe huko uliko uko salama au umepata tatzo? Na mama yako ndo alikua kama mgonjwa ila nimemtuliza
mpe mama pole sana na mwambie mama anisamehe kwa kuchelewa
Kashakusamehe ila usiwe unatoka usiku mwanangu
hahah, bata 101 imeniboost bata morale yangu. saivi nawaza bata like eer hour. Amandla...........Awethu..........Africa! Thankx mkuu am already started here at Picolo!
Kama kawaida mkuu slow but surehapo mbona sio mwake baba ungesogea mbelembele kidogo mitaa ya whitesand au comber beach ndo mwake zaidi ila as long as uko na mtoto najua hakiharibiki kitu.