Lakini hauruhusiwi kuniangalia usije ukanitamani bure mchaga wa watu ...
anhaa kumbe janja yako ndio hiyo eeh?Nitakuangalia kiwizi wizi, alafu nategea tu jamaa akienda msalani nakukonyeza...ha ha ha
anhaa kumbe janja yako ndio hiyo eeh?
Nitakuangalia kiwizi wizi, alafu nategea tu jamaa akienda msalani nakukonyeza...ha ha ha
hahah thanks mkuu ila usijali i have a .18mm caliber, will serve right the purposeOoh God! Mkuu naomba nifute kauli nisije kosa na mm hiyo kampani yenu! Simkonyezi shem, ntakulindia dhidi ya mafisi out there!
Ooh God! Mkuu naomba nifute kauli nisije kosa na mm hiyo kampani yenu! Simkonyezi shem, ntakulindia dhidi ya mafisi out there!
hahah thanks mkuu ila usijali i have a .18mm caliber, will serve right the purpose
Imekua longtime sana miss chagga, leo nataka uvae upendeze tutoke tukale bata popote utakapo na wala usiogope mtu yoyote humu chit chat. Si unajua wengi maneno matupu tu? But yo hubby donlucchese hua siongei saaana. Usijali hata ukiwekwa kikao mamaa,i' always have your back. Get ready, here i come
View attachment 137452
what a surprise nilijua umeniacha best donlucchese asante sana hizo pesa hizo usisahau kuniwekea bank ile niliyoomba best yangu. natka nikacheze hivi best
ananipenda sana, na mimi nampenda pia
sorry kwa late response dear, nlikua na fanya mchakato wa reservation. Guess where we are going out for dinner this night??
unataka vita na mimi tena jiondoe mwenyewe tu kabla sijalianzisha
dont play with ma wife
nyie watu mkoje?
ki chit chat sawa, mpende.
Mbona kuguna tena ni nini tenamh........
Mmmhhhh!! Yangu macho mie
ki chit chat sawa, mpende.
Mbona kuguna tena ni nini tena
sweetyheart i thought that ur were busy, doing work.
Heeee!! Haya sasa mwenye mali kaja