ndiyo hatutaki mwingine
Ha ha ha ha haaah!! Haya mama nakuachia thread yako,,,,,,,,mtoko mwema.
Mimi utanipa kazi ya kuwaendesha popote muendapooo
Yala yala yalaaaa!! Hapa sibanduki hata kwa mtutu. Lazima niunge msafara atakama hamna kadi.
mimi sitaki nata niwe na donlucchese tu wewe utatuoonea wivu
Kivip wakati mimi ni dereva tax
wewe unalako jambo aiwezekani ugaganie kazi sitaki mimi kukupa hiyo kazi unaweza usiwe mwaminifu
Sina jambo lolote nawapeleka sehemu husika na muda wa kuondoka ukifika nitawafateni, sintawacharge hela nyingi japo huyo shem ameingia na gia kubwa za kichaga
kumbe ni shemeji yako mimi sikujua aya bwana
kabisaa, only the two of usmimi sitaki nata niwe na donlucchese tu wewe utatuoonea wivu
kabisaa, only the two of us
hongera miss chagga nauliza hiv hizo saa ni za dhahabu kama za diamond halafu mbona sion dola dola hapo
Hatujamtambua rasmi ila ni wa kimjini mjini
what you see is what you get mkuu, no counterft stuff. Dollars hakuna sababu hazina use kwa bata letu localHongera miss chagga nauliza hiv hizo saa ni za dhahabu kama za diamond halafu mbona sion dola dola hapo
sawa rafiki
rafiki tena ...?
mimi sitaki nata niwe na donlucchese tu wewe utatuoonea wivu
Miss mzuri, naomba mimi niwasindikize ila tukifika mimi naka mbaliii ninyi mle bata lenu tu!