Bora ya mie niliyetoka nikamwachia kizingiti kisichokuwa na mpini
Bhageshi, huyu ladyfurahia anapenda sana kubembelezwa! We mbembeleze tuuuu si mda mrefu atakukubalia na utashangaa alivyo na mapenzi mazito kwako!
Hahahah angalia isijekuwa wewe ndo mwenye matatizo bibie
Kwa my Ntuzu napata kila kitu....nitoke niende wapi?
sina tatizo lolote si unamuona anavyonishobokea na kombe :second:anajitokeza, mtoto nilivyokuwa malaika mie
namwangalia na nimekuachia wewe maana hajui :deadhorse:
weee akushobokee nani? Wakat mi naona we ndo wamshobokea mume wangu
Nimemtag kwasababu ni binamu upande wa bibi mdogo wa kati
Hata ukinipa kwa dawa aingii katika kiganja cha mkono wangu kwani nina komandoo la nguvu au unataka nikutumie picha katika whasapp ?
nani huyo?
Ina maana hujamuona hapo juu basi macho yako hayaoni vizuri nenda ccbrt