Huyu ni binamu wangu
Mbona sijatambulishwa? miss chagga njoo uokoe kqbla sijavunja mtu kiuno kama Neymar.
Mbona sijatambulishwa? miss chagga njoo uokoe kqbla sijavunja mtu kiuno kama Neymar.
Teh Teh Teh
Bora Khantwe wangu hanunui gauni MANZESE KM Hilo alilovaa miss chagga la pale Manzese darajani!
Haaah! Costa Ricaaa! Safi saaaanaaaaa!
Kumbe ndo yupo hivyo?Kapendeza mwenyewe
mpaka nione mguu ndo nitacoment ya moyoni