Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
Mimi namtaka yeye sitaki no yake. wewe kama unaweza kumnipa yeye fanya hivyo. no nnayo mpka ya Ummy Mwalim naishia kumpigia na kumsalimiya tu na kumtakia kazi njema wakati mie sio mpiga kura wake