Miss CBE Billicanas, kwanini Kajala?

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Habari wakuu,

Kuna rafiki yangu amenitonya kuwa Kajala Masanja atakuwa ni staa rasmi atakayefanya Special Appearance ktk shindano la Miss CBE pale Billz Posta Ijumaa ya kesho tarehe 26.

Sasa swali langu, kwanini iwe Kajala? Kwanini asingekuwa Wema, Jokate, Uwoya au Ezekiel?!

Au japo K-Lyin, Faraja Nyalandu, Nargis na wengineo ambao walishawahi kushiriki mashindano haya ya ulimbwende!?

Of all ladies, Kajala ataleta tija gani?

Nieleweshwe plz..

b38567cda28cbe80e2f5cd5e62fd446a.jpg
 
Sasa kwani kuna tatizo gani hapo huyo dada akifanya hiyo special appearance?

Uwepo wake siyo lazima ulete tija yoyote ile kwa sababu si kila jambo lazima liwe na tija.

Mambo mengine huwa ni burudani tu.

Kama waandaaji wameona atakuwa kivutio na kama labda dau lake [kama analipwa] ndo wamelifikia bei, what's the beef?

Mambo ya kwa nini huyu na si yule ukianza kuyakomalia sana mwishowe unaweza hata kuhoji uwepo wako hapa duniani - kwa nini ulizaliwa wewe na si mwingine?
 
Wewe hujaelewa kitu

miss cbe bilicanas haipo katika branch za miss Tanzania ya Lundenga

hao uliowataja walikuwa washindi wa Miss Tanzania ya Lundenga

Miss Billicanas ni tukio la burudani
yeyote yule anaweza kuwekwa
hata Khadija Kopa anaweza kuwekwa kuleta burudani

leo wamemchagua Kajala kesho yeyote
 
Kwa kuwa linafanyikia billz ndio maana mnaliita tukio la burudani na yeyote anaweza kuwekwa tu ilimradi. Eti hakuna tija ni suala la burudani tu!

Kwahiyo mnataka kusema huyo Miss atakuwa ni ceremonial tu na hana a career to develop?! Kajala anamjenga nini huyo mlimbwende mtarajiwa?
 
Kama inahusiana na chuo labda ingekufurahisha kama wangechagua msomi aliye celeb.

So kuanzia Wema na wachache, na wengineo hapo na ambao hawapo ni bwaaa hawafai.
 
Kwa kuwa linafanyikia billz ndio maana mnaliita tukio la burudani na yeyote anaweza kuwekwa tu ilimradi. Eti hakuna tija ni suala la burudani tu!

Kwahiyo mnataka kusema huyo Miss atakuwa ni ceremonial tu na hana a career to develop?! Kajala anamjenga nini huyo mlimbwende mtarajiwa?

Hahaaaa are you serious?

Like...seriously getting bent out of shape just because Kajala will make a so called special appearance?

Wowzers in my trousers!!!
 
Habari wakuu,

Kuna rafiki yangu amenitonya kuwa Kajala Masanja atakuwa ni staa rasmi atakayefanya Special Appearance ktk shindano la Miss CBE pale Billz Posta Ijumaa ya kesho tarehe 26.

Sasa swali langu, kwanini iwe Kajala? Kwanini asingekuwa Wema, Jokate, Uwoya au Ezekiel?!

Au japo K-Lyin, Faraja Nyalandu, Nargis na wengineo ambao walishawahi kushiriki mashindano haya ya ulimbwende!?

Of all ladies, Kajala ataleta tija gani?

Nieleweshwe plz..

b38567cda28cbe80e2f5cd5e62fd446a.jpg
Kwani lazima wawe hao unao wahitaji? Kwao huyo Kajala ana tija zaidi ya hao unao wahitaji!
 
ungewahoji hao walioandaa hyo shoo, sasa sisi tutakusaidiaje? umbea mwingine jamani hapana , hata kama tunapenda kusengenya watu ila hii habari hapana
 
Kwa kuwa linafanyikia billz ndio maana mnaliita tukio la burudani na yeyote anaweza kuwekwa tu ilimradi. Eti hakuna tija ni suala la burudani tu!

Kwahiyo mnataka kusema huyo Miss atakuwa ni ceremonial tu na hana a career to develop?! Kajala anamjenga nini huyo mlimbwende mtarajiwa?
Mbona Aunt Ezekiel aliendaga na mhishmiwa Nyalandu Marekani kutangaza utalii hamkulalamika why Kajala?muacheni basi awe mgeni rasmi puliiiz
 
Nakumbuka miaka ambayo nilikuwa nasoma chuo tajwa Uwoya ndiye aliyefanya hiyo special appearance.
Kwa kutumia kigezo cha fani ya urembo (u-miss) mtoa mada amehoji swali la msingi.

Kajala na umiss wapi na wapi jamani?Mbona watu mnajitoa fahamu hivi?

beth my dear,wachache tumekuelewa,asante.
 
Kajala ndo type zenye mvuto siku hizi. Waaandaaji Wanasoma katikati ya misitari kama unabisha hudhuria ujionee "Nyomi" itakayokuwepo!
 
Team Wema watakufa kwa Stress safari hii.. Hivi Wema na Aunt wanalipi mpaka wawe wao?
 
Back
Top Bottom