Miss Bantu huyu mshana jr kaiba picha yako katika albamu lako
Hahahahaaaa sijaiba farkhina kanitumia Jerrymsigwa
Jerry kuna watu ndo ugonjwa wao
Angalia usije ukasababisha madhara mkuuAiseee.... mawazo yameenda mbaliiiiii
nasikia ukizidisha dozi ugonjwa unarudia tena...Itabidi urudie dozi ndugu yangu
Kaka jerry huyu tunaalika lini kwetu mana Jawilat alitufanyia za asha ma promise