Misri: Rasimu ya katiba yakubaliwa

Misri: Rasimu ya katiba yakubaliwa

bmalale

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
466
Reaction score
24
Rasimu inasema wanawake na Wakristo lazima wapate "uwakilishi mzuri" lakini ikisema sheria hiyo ya baadaye lazima itoe maelezo zaidi.



Katiba mpya inayopendekezwa itahitaji marais kutangaza mali zao, na kuruhusu wabunge kupiga kura ya kumtoa madarakani rais aliyechaguliwana kuitisha uchaguzi wa mapema ikiwa watafikia theluthi mbili ya wabunge wote.

CHANZO

.....ALL THE BEST EGYPT......
 
Back
Top Bottom