N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,392
- 10,863
Mkuu hiyo avatar yako Dah, kama wewe ni famale sawa ila kama ni male na uko sawa kabisa kimwili unajione kutumia hiyo.Mfalme Salman wa Saudia amesema makubaliano yamefikiwa na Misri kujenga daraja litakalopita juu ya Bahari Nyeusi na kuziunganisha nchi hizo mbili.
Amesema hatua hiyo inakuza mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili. ALJAZEERA
Hayo majina waliyatolea ili kujua bahari iko upande gani.Hivi kwanini bahari hiyo inaitwa bahari nyeusi, au ni jina tu kama hii iliyo huku kwetu tunaiita bahari hindi.
Jibu zuri mkuu.Hayo majina waliyatolea ili kujua bahari iko upande gani.
Kwa hiyo Black sea ni North na Red Sea ni South nk
Tunajaribu kuelimishana tu unalojua wewe mwingine halijui, shukran sanaJibu zuri mkuu.
Bahari NYEKUNDU ndio hiyo wanayotaka kujenga daraja hilo ni sahihisho tuKwa hiyo hapo kiswahili chake tuiteje
Nimeona matako ya mtu alievaa nguo laini iliyobana, akiwa ameinama ama?Kwani unaielewaje!!