Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,309
Upo mradi uliofikisha maji Tabora na wanampango wa kupeleka Dodoma.Kulikuwa na mradi wa kusambaza maji kanda ya ziwa. Sijui umefikia wapi.

Kweli? lini hiyo?[emoji1787][emoji1787]Nakumbukuka walitukaziaga kutoa maji ya victoria kwenda mikoa mingine