Misri hadi Afrika Kusini itakua soko huru kwa EAC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,806
2,000
Fursa hizi hapa, hamna cha kuzubaa, Wakenya jameni inabidi kukesha tukiwaza jinsi ya kutafuna, tukae mkao wa kula.Implementation of the TFTA would open the door for EAC goods, which would not have had access to markets such as South Africa, Egypt, Ethiopia and Eritrea.

The East African Community is getting closer to a deal on tariff offers with Egypt and the South African Customs Union (SACU) that would allow the bloc to ratify the Tripartite Free Trade Area agreement by December.

Egypt ratified the treaty on May 3, becoming the first country of the 18 that have signed the agreement to endorse it.

The EAC partner states pushed the bloc’s ratification date from February 2017 to December 2017 to allow more time to resolve pending issues on rules of origin and tariff offers.

A report by the East African Community Sectoral Council on Trade, Industry, Finance and Investment, from a meeting held in Arusha, Tanzania from May 29 to June 2, shows that the EAC has made strides in reaching an agreement on tariff offers with Egypt and SACU.

According to the report, the EAC has already presented its prioritised request lists of 403 tariff lines, of which 283 are for immediate liberalisation and 120 are on a phase-down basis. SACU has responded “positively” to the 112 tariff lines.

The EAC has requested more time to consult on the remaining tariff lines on SACU’s prioritised request list as it was not submitted on time.

“At the current stage of negotiations SACU has offered to immediately liberalise 66.7 per cent of its tariff lines while EAC’s offer stands at 61.4 per cent of tariff lines.

Reciprocity

"As the negotiations are on a reciprocal basis EAC has identified an additional 158 tariff lines for immediate liberalisation which would lift the offer to 64.25 per cent of tariff lines which is beyond the 63 per cent mandated by East African Community’s Sectoral Council on Trade, Industry, Finance and Investment,” the report says.
Tanzania, which belongs to both the EAC and the Southern African Development Community (SADC) but not the Common Market for Eastern and Southern Africa, has provided a tariff offer to Egypt — a Comesa member — comprising 96.89 per cent for immediate liberalisation and the remaining tariff lines to be gradually phased out in five years.

Although Egypt had initially provided an offer of 100 per cent tariff liberalisation to all the EAC partner states, it is reviewing its offer on the basis of reciprocity.

Fair competition

The EAC Secretariat is seeking a meeting to conclude the EAC-Egypt tariff discussions. Comesa and SADC are pushing their agenda as individual entities.

Under the TFTA Protocol, each bloc is expected to remove duty on between 60 per cent and 85 per cent of the tariff lines. The remaining 15 per cent of its tariff lines are to be negotiated over a period of between five and eight years.

Under the TFTA pact, the members of the three trading blocs are required to ignore sensitive products and subject them to duty and quota restrictions in order to ensure fair competition. Among the products earlier listed for protection until 2017 were sugar, maize, cement wheat, wheat, rice, textiles, milk and cream, beverages and second-hand clothes.

A trade framework agreed upon by the member states requires countries to exchange tariff concessions based on reciprocity.

However, it is understood that the extended discussions on tariff offers had been triggered by South Africa, which is keen on protecting its key markets from competition. The country is cautious of opening up its own domestic market and its export markets in Botswana, Lesotho, Namibia and Swaziland which are members of SACU.

Cape-to-Cairo free trade area closer
 

Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
5,637
2,000
Lini Kenya italeta wabunge wa EAC, mna tuchelewesha kupitisha miswada yenye faida kwa EAC kama hii.
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,381
2,000
Well calculated!!!
Ingieni kichwa kichwa na mnajua hamna zaidi ya maua.
Chakula tu kinawatoa jasho.

Kwani mmezalisha nini kikakosa soko mpaka muone hizo mikataba zinakuja kukomboa bidhaa za viwanda zenyu?
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,806
2,000
Well calculated!!!
Ingieni kichwa kichwa na mnajua hamna zaidi ya maua.
Chakula tu kinawatoa jasho.

Kwani mmezalisha nini kikakosa soko mpaka muone hizo mikataba zinakuja kukomboa bidhaa za viwanda zenyu?
Hatuzalishi chochote lakini sisi ndio wawekezaji wakubwa kwenye mataifa ya EAC na Kati, hivyo soko limepanuka tutatanua hadi mtakoma.
 

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
Well calculated!!!
Ingieni kichwa kichwa na mnajua hamna zaidi ya maua.
Chakula tu kinawatoa jasho.

Kwani mmezalisha nini kikakosa soko mpaka muone hizo mikataba zinakuja kukomboa bidhaa za viwanda zenyu?
jamaa umesoma taarifa na ukaelewa?...soko hilo limepatikana ni la EAC kwa pamoja na sio Kenya pekee yake. sasa unaposema eti tuna maua pekee yake unanshangaza....hivi TZ haiko EAC ama? tena kuna bidhaa nyingi tunazo tunaeza tukapanua kwa ajili ya soko hili jipya...kenya inakuna industries ndogo ndogo zitapanuka sasa
 

Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,244
2,000
jamaa umesoma taarifa na ukaelewa?...soko hilo limepatikana ni la EAC kwa pamoja na sio Kenya pekee yake. sasa unaposema eti tuna maua pekee yake unanshangaza....hivi TZ haiko EAC ama? tena kuna bidhaa nyingi tunazo tunaeza tukapanua kwa ajili ya soko hili jipya...kenya inakuna industries ndogo ndogo zitapanuka sasa
jogi amesema hivyo kufuatia kauli ya mleta uzi kuhamasisha wakenya eti mchngamkie hizo fursa badala ya kusema EAC ichangamkie fursa!

Nanukuu;"Wakenya jameni inabidi tukeshe tukiwaza jinsi ya kutafuna, tukae mkao wa kula" mwisho wa kunukuu! Hivi hii kauli ina umoja ndani yake! The true colour is revealed


Kiufupi hii EAC tunataka kuitumia tu kama mwamvuli ila utaifa uko pale pale!
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,381
2,000
jogi amesema hivyo kufuatia kauli ya mleta uzi kuhamasisha wakenya eti mchngamkie hizo fursa badala ya kusema EAC ichangamkie fursa!

Nanukuu;"Wakenya jameni inabidi tuwaze jinsi ya kutafuna, tukae mkao wa kula" mwisho wa kunukuu! Hivi hii kauli ina umoja ndani yake! The true colour is revealed


Kiufupi hii EAC tunataka kuitumia tu kama mwamvuli ila utaifa uko pale pale!
Nakuunga mkono utaifa uko palepale na ukiiangalia kwa makini sana ukabila upo nyuma ya pazia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom