Abu Hekima
Member
- Aug 11, 2013
- 8
- 0
Tatizo uchomaji moto misitu linazidi kushamili maeneo mbalimbali nchini hasa kipindi hiki cha majira ya kiangazi,ktk Wilaya ya Tandahimba zaidi ekari 2000 zimeteketea ktk msitu wa hifadhi wilayani hapo,Je Mamlaka husika na vyombo vya Habari vinatoa mchango kiasi gani Kuelimisha Jamii yetu ktk kuilinda rasilimali hii muhimu?