Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,735
Kumbe nina zawadi yangu hapo? 😅
Kumbe nina zawadi yangu hapo? 😅
Hii taarifa unaipotosha makusudi wewe Kima.Wanajeshi watatu wa Israeli wameuwa kwa kupigwa risasi na Wamajeshi wa Misiri na kupelekea wasiwasi mkubwa sana wa hizo chi kukinukisha vibaya. Wote ni washirika wa Marekani sasa tungoje tuoneView attachment 2645792