Kumekuwepo Na Tabia ya kupitia bei ya mafuta iwe petrol au diesel Na mafuta ya Taa Na pia hili la umeme kila Baada ya miezi 3 nk.
Sasa Misingi ya kupandisha bei Za petrol , diesel Na mafuta ya Taa unaweza kueleweke ni kutokana Na bei ya dunia Na exchange rate ya hela yetu Na pia uwepo wa wauuzaji Wengi yaani competition Na Bidhaa hizo huuzwa karibia 99% Kama zilivyo.
Tatizo langu lipo Ktk upandishaji wa bei ya umeme. Je unafuata bei Za dunia, inflation Na foreign exchange rate ? Au bei ya Mali ghafi zinazotumika Ktk uzalishaji wa umeme? Pili je kuna competition gani ambayo inampa mlaji kiasi Fulani Cha amani/ Imani kwamba bei anayo pewa ni ya haki Na sio ya kulea uzembe Na ubadhirifu.
Tatu mbona Bidhaa zingine Kama Mkate nauli Za mabasi Na mishahara haiwi reviewed Na kupandishwa au kushushwa Baada ya kupitia miezi 3.
Mwisho ningeomba mamlaka zinazo husika kuondoa bei ya umeme Ktk kundi hili la kupandishwa au kushushwa kila Baada ya miezi mitatu Kwa Kuwa hakuna ushindani wa kuhalaliaha hili Zaidi ya bei Yake kutawaliwa Zaidi Na masuala ya sera