Misingi ya katiba ya JMT ya 1977 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misingi ya katiba ya JMT ya 1977

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mwanamayu, Apr 8, 2011.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi sioni kifungu kinachompa JK mamlaka ya kuunda tume ya kuandika katiba mpya. Ila kwenye misingi ya katiba ya JMT ya 1977 inasema 'Katiba inatungwa na Bunge maalum la jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa niaba ya wananchi..' Sasa inakuwaje tume iundwe na Rais na badala ya Bunge? Hivi tume ya kuandika katiba ni sawa na tume ya madini? Au kuchunguza mauaji ya wafanyabiashara wa madini?
   
Loading...