Misikiti na makanisa yafungwa Lagos

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
160630121142_lagos_nigeria_512x288_bbc_nocredit.jpg

Mamlaka katika mji wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika jitihada za kupunguza kelele.

Karibu hoteli kumi na klabu kadha nazo zilifungwa. Mji wa Lagos una karibu watu milioni 10 huku, honi za magari, maombi kutoka misikitini na nyimbo makanisani vikitawala mji huo.

Mwezi Agosti utawala ulifunga maeneo 22 baada ya wenyeji kulalamika kutokana na kele zilzokuwa zikitoka maeneo hayo.

Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom