mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,877
- 132,143
Msiba ukiisha na madeni juukwa massawe pale unakuta spika kubwa 6 kila upande kina ndeyanka, babuu ,samu, nderingo totoliii, wanacheza kamari nje kwa mbali nyimbo ya sedekia , wamama jikoni wanapika vyakula kama ndo siku ya harusi alafu anayefanyiwa sherehe ya mwisho yupo dar hata hajatolewa mochwari ,MTOTO WA KWANZA WA MZEE MASSAWE NI KISHIMBA YUPO BAR NA MATES WAKE WA UTOTONI WANAPOROMOSHA ULABU
HATARIOO
Misiba yetu ni kuumizana kutiana garama kwa wafiwa,watu Wako kwenye msiba wanaumiza kichwa michango ya uendeshaji msiba
Misiba yetu ni kuumizana kutiana garama kwa wafiwa,watu Wako kwenye msiba wanaumiza kichwa michango ya uendeshaji msiba
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee arifu ,mbona unamwaga mambo ya nyumbani hadharani mkiruu? hayo mambo ni ya wasupuu meku, tumeelewana charii yangu?😂😂😂 kwa massawe pale unakuta spika kubwa 6 kila upande kina ndeyanka, babuu ,samu, nderingo totoliii, wanacheza kamari nje kwa mbali nyimbo ya sedekia , wamama jikoni wanapika vyakula kama ndo siku ya harusi alafu anayefanyiwa sherehe ya mwisho yupo dar hata hajatolewa mochwari ,MTOTO WA KWANZA WA MZEE MASSAWE NI KISHIMBA YUPO BAR NA MATES WAKE WA UTOTONI WANAPOROMOSHA ULABU
HATARIOO
Weka picha ya huku kwetu tulinganisheUtafikiri watu Wako meeting
Ova
View attachment 1008471View attachment 1008472
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 kwa massawe pale unakuta spika kubwa 6 kila upande kina ndeyanka, babuu ,samu, nderingo totoliii, wanacheza kamari nje kwa mbali nyimbo ya sedekia , wamama jikoni wanapika vyakula kama ndo siku ya harusi alafu anayefanyiwa sherehe ya mwisho yupo dar hata hajatolewa mochwari ,MTOTO WA KWANZA WA MZEE MASSAWE NI KISHIMBA YUPO BAR NA MATES WAKE WA UTOTONI WANAPOROMOSHA ULABU
HATARIOO