1.Mwalimu j.k nyerere
2.Albert mangwea
3.Steven kanumba.
4.Mouringe sokoine
5.Amina chifupa
ina maana wa Mangwea uliukata wa kanumba
Huyu naye alipata watu wengi?
a.k.a fundi namjua mkuu japo kipindi anawika mimi nilikuwa bado sijakuja mjini
Kama unapicha za mazishi yake tupia basi tuone
Sasa uone picha za mazishi zitakusaidia nini? Kweli umeokosa la kuona.